应用信息
- 版本
- 1.3
- 安装包大小
- 19.94MB
- 首次上架
- 2024-04-08
- 开发者
- Christopher Shoo
- Bundle ID
- org.selpay.com
- 分类
- 购物 (55,470)
应用截图
截图取自 App Store 商店页,等比完整显示、不裁剪,点击可放大。
应用介绍
摘要
Biashara bila daftari huisha bila habari
来自 App Store 来源Biashara bila daftari huisha bila habari. Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja. Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:- 1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni. 2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufatilia mzigo unaoingia na mzigo unaotoka. (Stock taking) 3. Kukupa ripoti za mauzo, matumizi na madeni ndani ya siku, wiki, mwezi, mwaka au ndani ya idadi ya siku utakazo pendelea mwenyewe. 4. Kutengeneza risiti (SIO ZA TRA), na kutuma bili au deni kwa wateja wako. 5. Kurekodi mawasiliano ya wateja wako. 6. Kupokea malipo kwenye simu yako Kuna mengineyo mengi yanaendelea kufanyiwa matengenezo kama:- 1. Kukusaidia kuendesha duka zaidi ya moja 2. Kukusaidia kuendesha wauzaji zaidi ya mmoja Karibu, share na wafanya biashara wenzako ili tukue pamoja.
常见问题FAQPage
谁开发的?
开发者为 Christopher Shoo,应用标识为 org.selpay.com。
这个应用是什么时候首次发布的?
首次发布于 2024-04-08,日期来自本站数据库记录。
答案里的每个数字都来自本页上方展示的数据,可以逐条核对。